Community

 

DEVELOPING PARTNERSHIPS BETWEEN COMMUNITIES IN TANZANIA AND SCOTLAND
Twende Pamoja is a family of partnerships between individuals, communities, schools and places of learning in Tanzania and in Scotland. The fundamental purpose of Twende Pamoja is to promote the development of a global vision in the context of relationship. There are now 36 schools and 6 communities involved in partnerships, which began over 30 years ago.

Twende Pamoja ni familia ya ushirikiano kati ya watu binafsi, jamii, shule zote na maeneo ya kujifunzia katika Tanzania na Scotland. Lengo la msingi la Twende Pamoja ni kuchochea maendeleo ya maono ya kimataifa katika mazingira ya uhusiano. Kwa sasa kuna shule 36 na jumuiya 6 zinazoshiriki katika ushirikano, ushirika ulioanza miaka 30 iliyopita.

Beginning relationships
Mwanzo wa Mahusiano

The most important aspect of starting a partnership is being clear that this is a community partnership, not a partnership between individuals, or a one off project. It is most effective when the whole community participates from the beginning and everyone is clear about the purpose of the link. As it will take time and commitment from everyone, it needs to become part of community planning. When a link is first made, it may be advisable to plan one project initially, to find out how the two communities can work together, and have similar aims within the partnership. It can happen that communities can mistake partnership for sponsorship and be looking for a different kind of relationship.

Kipengele muhimu katika kuanzisha ushirikiano ni ifahamike kabisa kuwa huu ni uhusiano wa jumuiya na sio uhusiano wa kibinafsi au mradi mmoja kwa mwingine. Ni ufanisi zaidi kama jamii zote zitashirikiana kikamilifu kuanzia mwanzo na kila mmoja kujua wazi madhumuni ya ushirika. Kwa kuwa itachukua muda na ahadi kwa kila mmoja, hili litahitaji kuwa sehemu ya mpango wa jumuiya. Wakati muunganikao umekamilika, inashauriwa kupanga mradi mmoja wa awali ili kujua namna gani jamii hizi mbili zitaweza kufanya kazi pamoja na kuwa na malengo sawa ndani ya ushirika. Inawezekana jamii inapochanganya kati ya ushirika na ufadhili, jambo hili hupelekea mitazamo tofauti na ushirika uliopo.

Sustaining and developing partnerships
Kudumisha Na Kuendeleza Ushirika

Evidence shows that the most successful community partnerships develop when there are strong working relationships and mutual understanding between everyone involved. In such relationships leaders are clear about what they expect from the partnership, and regularly review what they are doing and plan the next steps. A partnership agreement, which outlines expectations, can be a very good starting point. This would outline the activities each community would commit to, for example exchanging of information, sharing of life and faith, cultural exchange, and joint community projects.

Good communication is essential, and communities should have realistic expectations of each other and how they can communicate. Email contact is ideal, but not communities have access to computers and the internet. Mobile phones can be used for messages, but are not ideal for joint developments and sharing ideas. Communication is not simply about sending messages, but it is about understanding and sharing what each community can contribute to and share with the other.

Ushahidi unaonyesha kuwa mafanikio zaidi ya ushirikiano wa jamiii hutokea wakati kuna mahusiano ya nguvu kazi na maelewano baina ya watu washiriki kwenye ushirika. Katika mahusiano hayo, viongozi huwatakiwa kuwa makini kwakujua wanategemea nini kutoka kwenye ushirika, na mara kwa mara kuhakiki kile wanachokifanya na kupanga hatua inayofuata baadae.Makubaliano ya ushirika, ambayo yataelezea matarajio, yanaweza kuwa mwanzo mzuri. Hii itaelezea shughuli za kila jamii ambazo wanaweza kufanya, kwa mfano kubadilishana habari, kushiriki maisha na imani, kubadilishana tamaduni na kuunganisha miradi ya kijamii.

Mawasiliano mazuri ni muhimu, na jamii inapaswa kuwa na matarajio ya kweli kwa kila mmoja na ni jinsi gani wanaweza kuwasiliana. Mawasiliano ya barua pepe (e mail) ni bora, lakini sio kila jumuiya ina uwezo wa kupata kompyuta na intaneti. Simu za mkononi zinaweza kutumika kwa ajili ya ujumbe, lakini si bora kwa maendeleo na kubadilishana mawazo ya pamoja. Kwani, mawasiliano si tu juu ya kutuma ujumbe, bali ni kushirikishana michango ya mawazo kutoka katika jamii hizi.

Partnership Steering Group
Kikundi cha Uhamasishaji Ushirika

The greatest benefits from partnerships come when communities are involved in joint activities. When partnerships develop very well, there are limitless possibilities that can be explored. It is recommended that each community should form a small Steering Group to work to develop the relationship. This group should work closely with community leaders and organisations.

The Steering Group should:
• maintain regular communication with the partner community
• ensure that all community members are kept informed about the partnership and what is happening
• initiate and develop common projects

Faida kubwa inayotokana na ushirika huu inakuja wakati jamii hizi zinapo shirikiana katika shughuli za pamoja. Wakati ushirikiano unapoendelea vizuri sana, kuna nafasi zisizokuwa na kikomo ambazo zinaweza kutumika. Inapendekezwa kila jamii iunde kikudi cha kuhamasisha uhusiano ili kuendeleza uhusiano huu. Kikundi hiki kinatakiwa kufanya kazi karibu na viongozi wa mitaa, bodi za shule, viongozi wa jumuiya na wa mashirika.

Kikundi cha uhamasishaji kitakuwa na shughuli zifuatazo;
• Kudumisha mawasiliano ya mara kwa mara na jamii ushirika.
• Kuhakikisha kuwa wanajamii wote wanaarifiwa kuhusu ushirikiano na kila kinachotokea.
• Kuanzisha na kuendeleza miradi ya kawaida
• Kutambua nyakati ambapo jamii fanya sala kwaajili ya kila mmoja
Practical Support between Communities
Msaada wa matendo kati ya jumuiya

The most effective partnerships have, first and foremost, relationship at their centre. Partnerships based on the idea of ‘benefactor’ rather than ‘friend’ or ‘partner’ may reinforce rather than challenge stereotypes and limit real community partnership. However, within the context of mutual respect, and an attitude of “we can help each other and bring different things to our partnership”, there may be times when practical support can be appropriate.

The economic difficulties experienced by many individuals and communities needs to be acknowledged. It is essential that we should support each other in direct and practical ways and that those who have more should share generously with those who not have access to the same resources. Once a relationship has been established practical support may be both appropriate and a necessary response. Families help each other.

It is important to recognise that there are many things that communities in both countries can offer to each other as part of their relationship as well as direct material support. The offering of hospitality during exchange visits and the sharing of each other’s expertise and experience, for example, are some of the many things, which cannot simply be measured in economic terms and yet which are pivotal to the mutual relationships between communities across the world.

Ushirikiano wenye ufanisi huwa na, kwanza kabisa, mahusiano katika vituo vyao. Ushirikiano kwa kuzingatia katika ‘Mfadhili’ badala ya ‘rafiki’ au ‘mshirika’ utachangia ubaguzi na kukwamisha urafiki wa kweli. Hata hivyo, katika mtazamo wa kuheshiamiana, na mtazamo wa “tunaweza kusaidiana na kuleta mambo mbali mbali kwenye ushirika wetu” kuna nyakati ambazo kusaidiana kwa vitendo ikawa njia ya kufaa.

Ni muhimu kutambua kwamba tunapaswa kusaidiana moja kwa moja na kwa vitendo na kwa wale wenye ziada wanapaswa kutoa kwa ukarimu kwa wale wasio na uwezo wa kupata.Mara baada ya uhusiano kuanza msaada wa matendo unaweza kuwa ni sahihi na muhimu. Familia zisaidiane.

Ni muhumu kutambua kwamba kuna mambo mengi ambayo jamii kutoka nchi zote mbili zinaweza kupeana kama sehemu ya urafiki wao pamoja na msaada wa vifaa. Kusaidiana kwa ukarimu wakati wa ziara za kubadilishana ujuzi na utaalamu kunawezesha mambo mbalimbali zaidi ya vitu halisi na pia vitachangia maendeleo ya ulimwengu mzima.